Friday, March 8, 2019

UTUMISHI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma tarehe 8 Machi, 2019.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde (Mb) akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma tarehe 8 Machi, 2019.
 
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye maandamano kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma tarehe 8 Machi, 2019.


No comments:

Post a Comment