SERIKALI YATOA HATIMILIKI ZA KIMILA 100 KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MBONDO WILAYANI NACHINGWEA
Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakitoka kukagua
jengo la masijala ya ardhi kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea linalojengwa
kupitia MKURABITA wakati wa ziara ya kamati hiyo yenye lengo la kukagua miradi
ya maendeleo mkoani Lindi.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason
Rweikiza (Mb) akieleza umuhimu wa hatimiliki za kimila kabla ya kuwapatia
wananchini wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea wakati wa ziara ya kamati
yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi.
Wananchi
wa kijiji cha Mbondo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) alipokuwa akizungumza nao juu ya
umuhimu wa hatimiliki za kimila wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua
miradi ya maendeleo mkoani Lindi.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne
Mchemba (Mb) akitoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea kuchangamkia
fursa ya hatimiliki za kimila wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua miradi
ya maendeleo mkoani Lindi.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akieleza azma ya serikali ya kuwainua
wanyonge kwa kuwapatia hatimiliki za kimila ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason
Rweikiza (Mb) akitoa hatimiliki za kimila kwa mmoja wa wananchi wa kijiji cha
Mbondo wilayani Nachingwea wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua miradi ya
maendeleo mkoani Lindi.
Mtendaji Mkuu wa MKURABITA, Bi. Seraphia Mgembe akizungumzia umuhimu wa
wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea kumiliki hatimiliki za kimila
wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment