Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Fundikira Ekerege (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI |
Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bw. Shota Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI |
No comments:
Post a Comment