Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menajimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza na Waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 . Kulia kwake ni Naibu Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi.
|
No comments:
Post a Comment