Thursday, June 15, 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA MIKOA YA IRINGA, MBEYA NA SONGWE, 2017

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi akisisitiza jambo kwa kwa viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya alipofanya ziara ofisini hapo ikiwa ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2017.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi, akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya alipofanya ziara ofisini hapo ikiwa ni siku ya pili ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma, 2017.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi akisisitiza jambo kwa kwa viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya alipofanya ziara ofisini hapo ikiwa ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2017. 

Mmoja kati ya Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe akiuliza swali wakati wa kikao kazi na Naibu Katibu Mkuu-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2017.

No comments:

Post a Comment