Tuesday, June 20, 2017

MKUTANO KAZI WA WATENDAJI WA MKOA WA NJOMBE-MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017


Sehemu ya watendaji mkoani Njombe wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi (hayupo pichani) leo mkoani Njombe ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.

Sehemu ya watendaji wa Serikali mkoani Njombe wakisikiliza  hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuhusu uwajibikaji katika Utumishi wa Umma , iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi (hayupo pichani) leo mkoani Njombe ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.



Kaimu Katibu Tawala, Mkoa wa Njombe Bw. Gideoni Mwinami (kulia) akiwasilisha taarifa ya mkoa wake wakati wa kikao kazi cha  Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2017.




Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) ya kuhimiza uwajibikaji kwa viongozi wa watumishi wa umma mkoani Njombe wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha  Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Issa Ng’imba.


Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi akitoa maelezo zaidi kuhusu masuala yaliyoelekezwa katika kikao kazi kwa vyombo vya habari  mkoani Njombe kuhusu masuala ya kiutumishi ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.



Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma,  Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Issa Ng’imba akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kiutumishi   kwa Watendaji na  watumishi wa umma mkoani Njombe  ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi na kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bw. Gideoni Mwinami.


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Issa Ng’imba akifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusu taratibu mbalimbali za kiututumishi  ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.

No comments:

Post a Comment