Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi
nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli (kulia) alipofanya ziara ya kikazi
ofisini kwake . Wa pili kutoka kulia ni Mkuu wa Mahusiano wa ubalozi wa Uswisi
nchini Bi. Romana Tadeschi.
|
No comments:
Post a Comment