Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu
na Nyaraka za Taifa Bw. Charles G. Magaya (aliyevaa koti la kijivu) akizungumza
na Watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Mbeya kuhusu namna bora
ya Utunzaji wa Kumbukumbu za ofisi alipofanya ziara ya kikazi kujionea hali ya
utunzaji kumbukumbu mkoani humo.
|
No comments:
Post a Comment