|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa walipoitembelea ofisi ya Mfuko
wa Rais wa Kujitegemea (PTF) ili kupata taarifa ya kiutendaji.
|
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa,
Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitoa neno la utangulizi wakati Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ilipoitembelea ofisi ya Mfuko wa Rais wa
Kujitegemea (PTF) ili kupata taarifa ya kiutendaji. Kulia ni Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah
J. Kairuki (Mb).
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais
Ikulu Bw. Peter Ilomo akitoa maelezo ya
namna Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) unavyotekeleza majukumu
yake kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa
ilipoitembelea ofisi hiyo ili kupata taarifa ya kiutendaji. Kushoto ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
|
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF), Bi.
Haighat Kitala akifafanua majukumu ya ofisi yake kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu
ya Utawala na Serikali za Mitaa ilipoitembelea ofisi hiyo ili kupata taarifa ya
kiutendaji.
|
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifafanua majukumu ya Mfuko wa
Rais wa Kujitegemea (PTF) kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali
za Mitaa ilipoitembelea ofisi hiyo ili kupata taarifa ya kiutendaji. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe.
Jason Rweikiza (Mb) na kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais
Ikulu Bw. Peter Ilomo.
|
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada
ya kumaliza kikao cha kupokea taarifa ya kiutendaji ya Mfuko wa Rais wa
Kujitegemea (PTF).
|
No comments:
Post a Comment