Friday, January 27, 2017

WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WAKALA ZA SERIKALI, AZITAKA ZIFANYE KAZI NA KUJITEGEMEA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini leo jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali leo jijini Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA), Dkt. Jabiri Bakari akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali leo, jijini Dar es salaam.

Washiriki wa mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala hizo nchini leo, jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Henry Mambo (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini leo, jijini Dar es salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisikiliza mada pamoja na washiriki wengine wakati wa mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini, uliofanyika leo jijini Dar es salaam.

1 comment:

  1. Habari!
    Ningependa kuuliza kuhusiana na sisi watumishi tuliosaini mikataba ya kazi na kupatiwa barua za ajira, je kuna hatua yoyote huenda inaendelea juu ja ajira yetu au hakuna maana hatuna taarifa yoyote na baadhi yetu tupo nyumbani mpaka sasa hatujapatiwa taarifa juu yetu.
    Ahsante.

    ReplyDelete