Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akijionea moja ya shubaka linalotumika kutunzia majalada katika masijala ya ofisi
yake, mara baada ya kuzindua utoaji wa huduma wa ofisi hiyo iliyopo Makao Makuu
ya Nchi Dodoma. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Idris Kikula.
|
No comments:
Post a Comment