Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifuatilia maelezo kuhusu Tovuti ya Watumishi
(Watumishi Portal) baada ya kuizindua rasmi mkoani Dodoma leo. Kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb) na kushoto kwake ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura
(Mb) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Dkt. Laurean Ndumbaro.
|
Hongereni kwa ujenzi wa Taifa mimi ni Tatibu nilio maliza chuo 2015 Tunaomba mtuangalie kwa jicho la huruma kuhusu ajira kwa sababu tuko mtaani tu na kuna vituo vya afya havina wafanyakazi kabisa, Watanzania wanapata shida wakati Wataalamu tuko mtaani. Naomba angalieni upya swala la ajira
ReplyDeleteTunaomba mtoe vibali vya ajira Tukaijenge Tanzania kwa pamoja ya Watanzania wenye Afya Bora.
ReplyDeleteBaraka za Mungu ziifunike wizara hii. Hii ni wizara inayohusika na maisha wetu kimaslahi. Mungu ambariki waziri wetu.
ReplyDelete