Mratibu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) Bw. Owa
Ichiro akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Bi.
Roxana Kijazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya
kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma
nchini, iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
|
No comments:
Post a Comment