Baadhi ya
watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili, uwajibikaji, utawala bora, haki za
binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini wakimsikiliza Waziri wa Katiba na
Sheria, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) alipokuwa akizindua rasmi Wiki ya
kutoa huduma kwa wananchi katika kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za
Binadamu inayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment