Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akiwa katika matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili, uwajibikaji, utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.
|
Baadhi ya
watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za
binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini wakiwa katika matembezi ya hiari
ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi
akihitimisha matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia
maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa
katika viwanja vya Mnazi Mmoja - Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kampeni ya
kitaifa.
Baadhi ya watumishi wa taasisi zinazosimamia
maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini wakimsikiliza
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akihitimisha matembezi
ya hiari ya watumishi hao katika viwanja vya Mnazi Mmoja - Dar es Salaam ikiwa
ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H
Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliojumuika na watumishi wa
taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora, haki za binadamu
na mapambano dhidi ya rushwa katika matembezi ya hiari ikiwa ni sehemu ya
kampeni ya kitaifa.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akiwa
katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
waliohudhuria katika matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia
maadili,uwajibikaji,utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa
ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.
|
No comments:
Post a Comment