Baadhi ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili, uwajibikaji,
utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini na wananchi wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akifunga rasmi Wiki ya kutoa huduma kwa wananchi katika
kuadhimisha Siku ya Maadili Kitaifa na Haki za Binadamu iliyofanyika katika
viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment