Baadhi ya wanufaika wa mafunzo yanayotolewa na Serikali ya Jamhuri ya
Korea kupitia KOICA wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi (hayupo pichani) alipokuwa
akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini
Korea (KOICA/KAAT) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment