Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa katika mazungumzo na Wataalam wa kujitolea
kutoka Japani waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini, wakati wa hafla fupi
ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.
|
No comments:
Post a Comment