Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMSP)
mara baada ya kukutana na viongozi hao kwa lengo la kujadili masuala ya
kiutendaji ofisini kwake leo.
|
No comments:
Post a Comment