Balozi wa Japani nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida (kushoto) akizungumza
na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini
kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na
Japani hususan suala la wataalamu wa kujitolea wanaokuja kufanya kazi nchini.
Kulia kwake ni Afisa wa Ubalozi wa Japani nchini, Bi. Yoko Kamiyana.
|
No comments:
Post a Comment