Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza
na Vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu Kaya zilizoondolewa kwenye Mpango
wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF), Awamu ya Tatu kwa kukosa sifa. Kushoto kwake
ni Katibu Mkuu, Ikulu, Bw. Peter Ilomo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi.
|
No comments:
Post a Comment