Saturday, March 21, 2020
Wednesday, March 18, 2020
UTUMISHI YAPOKEA VITENDEA KAZI TOKA UNDP KUBORESHA UTENDAJI
![]() |
| Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu, Mkoa wa Shinyanga, Bw. James Bwana akitoa maelezo ya vitendea kazi vilivyotolewa na UNDP kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kulia) katika ukumbi wa Ofisi ya Rais, Utumishi, Mtumba jijini Dodoma. |
Katibu
Tawala Msaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu, Mkoa wa Shinyanga, Bw.
James Bwana, akionyesha nyaraka zenye orodha ya vitendea kazi vilivyotolewa na
UNDP kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt.
Laurean Ndumbaro (kulia).
|
Kaimu
Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Ofisi ya Rais, Utumishi, Bw. Victor
Ngole, akipokea nyaraka leo toka kwa Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Utawala
na Rasilimaliwatu, Mkoa wa Shinyanga, Bw. James Bwana zinazoonyesha orodha ya vitendea
kazi vilivyotolewa na UNDP. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.
|
Vitendea
kazi vya kielektroniki vilivyotolewa na UNDP kwa ajili ya kuboresha utendaji
kazi wa watumishi wa watumishi wa Ofisi ya Rais, Utumishi vikishushwa leo kwa
ajili ya makabidhiano rasmi katika ofisi hiyo, Mtumba jijini Dodoma.
|
Sunday, March 15, 2020
UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao
cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango
wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
|
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao hicho kujadili
taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na
Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
|
Mkurugenzi wa Idara ya
Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw.
Cosmas Ngangaji (aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa
Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kwenye Kikao cha
Baraza la Wafanyakazi la ofisi hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akitoa
ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha
kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20
na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)






