Monday, May 1, 2023

WATUMISHI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) 2023 YALIYOFANYIKA KIMKOA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI JIJINI DODOMA

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakijiandaa kuingia Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2023 yaliyofanyika katika ngazi ya mkoa


Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini (hayupo pichani) katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2023 yaliyoadhimishwa Kimkoa katika viwanja hivyo.


Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2023 yaliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. 


Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiimba wimbo wa mshikamano kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2023 yaliyofanyika katika ngazi ya Kimkoa kwenye Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.


 

No comments:

Post a Comment