Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili,
Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika akifafanua Kanuni za Maadili ya
Utendaji katika Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika
utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa
Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment