Wednesday, September 6, 2017

UTUMISHI YATOA MAFUNZO KUHUSU MAADILI NA USHUGHULIKIAJI WA MALALAMIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA KWA VIONGOZI WA TEA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Graceana Shirima, akizungumza katika kikao cha mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa kwa viongozi wa Mamlaka hiyo na Ofisi ya Rais-Utumishi leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Lambert Chialo akiwasilisha mada kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko ya wananchi katika utumishi wa umma kwa viongozi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya viongozi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakiwa katika mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa viongozi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Meneja wa Miradi ya Elimu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Bi. Anne Mlimuka, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa viongozi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

1 comment: