Wednesday, September 20, 2017

WATU WENYE ULEMAVU WASHAURIWA KUJIWEKA WAZI WANAPOOMBA AJIRA ILI WAWEZE KUANDALIWA MAZINGIRA WEZESHI

Add caption

Add caption


Mkurugenzi wa Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais - Utumishi, Bi. Anne Mazalla akizungumza kuhusu Mwongozo wa Huduma za Watumishi wa Umma Wenye Ulemavu wa Mwaka 2008 katika kipindi cha JAMBO kinachorushwa hewani na TBC One.


Mkurugenzi wa Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais – Utumishi, Bi. Anne Mazalla (kushoto) na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Chistina Magwai wakiwa katika kipindi cha JAMBO kilichorushwa hewani na TBC Taifa kuzungumzia utekelezaji wa Mwongozo wa Huduma za Watumishi wa Umma Wenye Ulemavu wa Mwaka 2008.


No comments:

Post a Comment