Tuesday, September 5, 2017

WATUMISHI 143 WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI AWAMU YA PILI KUHAMIA DODOMA KABLA YA DISEMBA, 2017

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa kwenye kikao  na wajumbe wa  Kamati  ya Kudumu ya Bunge  ya Utawala  na Serikali za Mitaa  kilichofanyika  Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM).

Baadhi ya wajumbe wa  Kamati  ya Kudumu ya Bunge  ya Utawala  na Serikali za Mitaa  wakisoma kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Agizo la Serikali kuhamia Dodoma iliyowasiliswa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasilisha  taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati  ya Kudumu ya Bunge  ya Utawala  na Serikali za Mitaa  katika  Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM).

Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson S. Rweikiza (Mb) akichangia hoja mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha  taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati  ya Kudumu ya Bunge  ya Utawala  na Serikali za Mitaa.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Waitara (Mb) akichangia hoja mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la Serikali kuhamia Dodoma kwa wajumbe wa Kamati  ya Kudumu ya Bunge  ya Utawala  na Serikali za Mitaa.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekekezaji wa agizo la Serikali kuhamia Dodoma kwa kamati hiyo.

Add caption

Add caption

No comments:

Post a Comment