Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro wakimsikiliza Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Halmashauri ya Wilaya Kilosa, Bi. Susan Nyanda (hayupo
pichani) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya zoezi la uhakiki wa Watumishi hewa na
wenye vyeti vya kughushi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
|
No comments:
Post a Comment