Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akijibu swali la Mhe. Ritta E. Kabati (Mb) Bungeni leo
kuhusu hali ya utekelezaji wa Mpango wa TASAF wa kusaidiana na vyombo vingine
vya Serikali katika kupunguza umaskini wa Watanzania.
|
No comments:
Post a Comment