Tuesday, September 12, 2017

WANANCHI WAOMBWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUFICHUA VITENDO VYA UKIUKWAJI WA MAADILI KATIKA UTUMISHI WA UMMA





Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Lambert Chialo (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu uzingatiaji wa Maadili kwa Watumishi wa Umma katika utendaji kazi, wakati wa kikao na Waandishi wa Habari kilichofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Lambert Chialo (kushoto) akisisitiza jambo kuhusu uzingatiaji wa Maadili kwa Watumishi wa Umma katika utendaji kazi, wakati wa kikao na Waandishi wa Habari kilichofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam.

Waandishi wa Habari wakichukua matukio wakati Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Lambert Chialo alipokuwa akizungumza na Waandishi hao kuhusu uzingatiaji wa Maadili kwa Watumishi wa Umma katika utendaji kazi wakati wa kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment