Tuesday, September 19, 2017

MHE. KAIRUKI AELEKEZA MTUMISHI ALIYEHAKIKIWA KWA CHETI TOFAUTI NA MAJINA ANAYOLIPWA MSHAHARA KUONDOLEWA KWENYE ORODHA YA MALIPO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WA UMMA (PAYROLL)






Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea taarifa ya utendaji kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo alipofanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia namna zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma lilivyofanyika


Baadhi ya watendaji wa Sekretarieti ya Mkoa wa Pwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) alipofanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia namna zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma lilivyofanyika.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa maelekezo wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya katika Mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia namna zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma lilivyofanyika.

No comments:

Post a Comment