Thursday, December 31, 2015
MHE. KAIRUKI ATEMBELEA WAKALA YA SERIKALI MTANDAO NA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akishuhudia sehemu ya kusimamia mtandao wa mawasiliano wa Serikali alipotembelea Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari alipotembelea Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akishuhudia Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa alipotembelea Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari alipokitembelea Chuo cha Utumishi wa Umma (Magogoni) |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma alipokitembelea |
Add caption |
Wednesday, December 30, 2015
MHE. KAIRUKI AENDELEA NA ZIARA KUZITEMBELEA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto)
akimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala alipoitembelea
ofisi hiyo.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akitazama moja ya kifaa cha kutunzia kumbukumbu alipoitembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa |
Tuesday, December 29, 2015
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUZALIWA UPYA KIUTENDAJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza
na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma alipoitembelea
ofisi hiyo.
|
Tuesday, December 22, 2015
WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA HUDUMA ZA TEHAMA -UTUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama). |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama). |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi. |
Monday, December 21, 2015
WANAOTAKIWA KUSTAAFU WASIPEWE MIKATABA YA KUENDELEA NA KAZI SERIKALINI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora
Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya
Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na
watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi.
|
Friday, December 18, 2015
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb), alipofanya kikao na Watumishi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi -UTUMISHI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (katikati), alipofanya kikao na Watumishi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi -UTUMISHI. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akitoa maelekezo kwa Watumishi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi -UTUMISHI. |
Serikali kuwachukulia hatua watumishi waliobainika kutumia vyeti vya kughushi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) ameiagiza
Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu-UTUMISHI kuwachukulia hatua watumishi waliobainika
kutumia vyeti visivyo vyao kupata ajira Serikalini.
Mhe. Kairuki aliyasema hayo
jana alipotembelea Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu–UTUMISHI ikiwa ni
muendelezo wa ratiba yake ya kutembelea Idara/Vitengo vya Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma.
“Watumishi wote waliobainika
kupitia Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kutumia
vyeti visivyo halali kwao wachukuliwe hatua stahiki” Mhe. Kairuki amesema.
Aidha, Mhe. Kairuki amemtaka Mkurugenzi wa
Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu-UTUMISHI Bw. Emmanuel Mlay kutafuta Ufumbuzi
wa kumalizana na tatizo la watumishi wanaotumia vyeti vya kughushi.
“Muwasilishe vyeti vyao Baraza
la Mitihani kwa ajili ya uhakiki na baada ya uhakiki muwachukulie hatua stahiki
watumishi wanaoonekana kutumia vyeti visivyo halali kwao” Mhe. Waziri alisisitiza.
Naye, Mkurugenzi Msaidizi
Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu-UTUMISHI Bw. Leonard Mchau alisema kuwa Ofisi
ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma imehakiki jumla ya watumishi 704 ambao
kati ya hao watumishi 219 baada ya vyeti vyao kuhakikiwa na Baraza la Mitihani wamegundulika
kuwa waliajiriwa kwa vyeti vya kughushi.
Bw. Mchau aliongeza kuwa
baadhi ya watumishi hao walioonekana kughushi vyeti ili kujipatia ajira
Serikalini wamekimbia vituo vyao vya kazi.
Bw. Mchau aliwaasa wananchi
kuepuka mchezo wa kughushi vyeti ili kujipatia ajira Serikalini.
“Ni kosa la jinai kughushi
vyeti kwa lengo la kujipatia kazi hivyo endapo utagundulika umeghushi vyeti
utachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi.” Bw. Mchau alifafanua.
Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma inaendelea na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wote
wa Umma nchini na matarajio ni kuwahakiki watumishi wote.
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akitoa
maelekezo kwa Watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu-UTUMISHI.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akipewa ufafanuzi kuhusu fomu za madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa Umma (arrears) . |
Thursday, December 17, 2015
SERIKALI YAWASHUKURU WATAALAM WA KUJITOLEA KUTOKA JAPAN WALIOMALIZA MUDA WAO WA KUTOA HUDUMA NCHINI
Wednesday, December 16, 2015
AZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE. KAIRUKI AENDELEA KUTEMBELEA IDARA/VITENGO - kukaa na Watumishi katika ofisi zao kuwasikiliza
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb), akitoa maelekezo
kwa Watumishi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI mapema leo.
|
Baadhi ya Wafanyakazi
wa Idara ya Uendelezaji Sera wakiwa katika kikao kazi na Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb).
|
Tuesday, December 15, 2015
MHE. KAIRUKI AWAHIMIZA WATUMISHI WA IDARA YA UTAWALA WA UTUMISHI SERIKALINI KUWAJIBIKA IPASAVYO
Monday, December 14, 2015
MHE. ANGELLA KAIRUKI AKABIDHIWA NYARAKA MUHIMU ZA KIUTUMISHI
Saturday, December 12, 2015
MHE. KAIRUKI AANZA KAZI RASMI OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) akiweka saini katika kitabu
cha wageni baada ya kuwasili rasmi katika ofisi yake.
|
Tuesday, December 8, 2015
Ofisi ya Rais-Utumishi yakanusha taarifa kuhusu Katibu Mkuu Utumishi kusimamishwa kazi na Mhe.Rais
Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma inakanusha habari iliyochapishwa na gazeti la Majira la tarehe 8 Desemba, 2015 yenye kichwa cha habari kinachomhusisha Katibu Mkuu Utumishi kusimamishwa kazi na Mhe. Rais (Tazama nakala ya gazeti hilo hapa chini). Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu hahusiki na habari hiyo na anaendelea na kazi zake kama kawaida.
Subscribe to:
Posts (Atom)