Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Stahiki) Sivangilwa
Mwangesi akijitambulisha wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Maadili ya Viongozi
wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala, Katiba na Sheria yaliyotolewa katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria,
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akifuatilia mada kuhusu Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma
iliyokuwa ikiwasilishwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi
za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bi. Ndoh’no William
Abel

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mhe. Regina Qwaray akifafanua jambo wakati Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma ilipokuwa ikitoa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Maadili ya
Viongozi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na
Sheria katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas
Ndumbaro akiongoza kikao cha Kamati yake wakati Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ilipokuwa
ikiwasilisha mada kuhusu Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma. Mafunzo yametolewa
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026. Kulia ni Katibu wa Kamati
hiyo Bi. Ndoh’no William Abel

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray akifafanua jambo wakati Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma ilipokuwa ikitoa mafunzo kuhusu Usimamizi wa
Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Xavier Daudi akifafanua jambo wakati Sekretarieti
ya Maadili ya Viongozi ilipokuwa ikitoa Mafunzo kuhusu Usimamizi wa Maadili ya
Viongozi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala, Katiba na Sheria
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia mada kuhusu Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma wakati Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi ilipokuwa ikitoa mafunzo ya uelewa kwao katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia
mada kuhusu Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma wakati Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi ilipokuwa ikitoa mafunzo ya uelewa kwao katika Ofisi za Bunge
Jijini Dodoma,
tarehe 11 Februari, 2026.
Viongozi mbalimbali kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakifuatilia mada ya Usimamizi wa Maadili katika Utumishi wa Umma iliyowasilishwa na Ofisi hiyo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Tarehe 11 Februari, 2026.Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mhe. Regina Qwaray (Kulia) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw.
Xavier Daudi (Katikati) na Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Stahiki) Sivangilwa
Mwangesi (Kushoto mstari wa mbele) wakati Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
wa Umma ilipokuwa inatoa Mafunzo ya Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma
kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Rais UTUMISHI na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakisubiri kuingia katika Ukumbi wa Bunge ambao ulitumika kuwasilisha mada ya Usimamizi wa Maadili katika Utumishi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Tarehe 11 Februari, 2026.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray akifurahia jambo na Viongozi mbalimbali
kabla ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kutoa Mafunzo kuhusu Usimamizi wa
Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
No comments:
Post a Comment