Mkurugenzi
wa Mipango kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Cosmas Ngangaji (Katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha Maafisa hao kilicholenga kuandaa Mpango
na Bajeti ya Mwaka 2026/2027 kilichofanyika mkoani Manyara. Kushoto kwake ni Kaimu
Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, wa ofisi hiyo Bw. Patrick
Allute.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute akisisitiza jambo wakati
akiwasilisha mada kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini wakati wa kikao kazi cha
Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo kilicholenga kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka
2026/2027 kilichofanyika mkoani Manyara.
Maafisa
Bajeti kutoka Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha
Ufuatiliaji na Tathmini, wa ofisi hiyo, Bw. Patrick Allute (hayupo pichani)
wakati akiwasilisha mada kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini kwenye kikao kazi cha
Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo kilicholenga kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka
2026/2027.
Maafisa
Bajeti kutoka Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia jambo wakati wa kikao kazi cha
Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo kilicholenga kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka
2026/2027 kilichofanyika mkoani Manyara.
Wachumi
kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala
Bora wakifuatilia jambo wakati wa kikao kazi cha Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo
kilicholenga kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2026/2027 kilichofanyika mkoani
Manyara.
Maafisa
Bajeti kutoka Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia jambo wakati wa kikao kazi cha
Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo kilicholenga kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka
2026/2027 kilichofanyika mkoani Manyara.
Mkurugenzi
wa Mipango kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Cosmas Ngangaji akiwa
katika picha ya pamoja na Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha Maafisa hao kilicholenga kuandaa Mpango
na Bajeti ya Mwaka 2026/2027 kilichofanyika mkoani Manyara.
No comments:
Post a Comment