Madereva
wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia
mada mbalimbali wakati wa kongamano la nne la Madereva wa
Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Afisa Rasilimaliwatu kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Imani Mtumbi (aliyenyanyua mkono) akifafanua jambo kwa mtumishi aliyefika kupatiwa huduma ya kiutumishi wakati wa kongamano la nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Afisa
Utumishi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Said Ally akiwasilisha
mada kuhusu e-Uhamisho wakati wa kongamano la nne la Madereva wa
Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention
Centre jijini Dodoma.
Afisa
Usafirishaji kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Benson Batalinganya
(kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania,
Bw. Saidi Kapande (wapili kutoka kulia) kabla ya kuanza kwa kongamano
la nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa
Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Afisa
Rasilimaliwatu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI (aliyenyanyua mkono) Bi.
Leticia Mwakasitu akifafanua jambo kwa mtumishi aliyefika kupatiwa huduma ya
kiutumishi wakati wa kongamano la nne la Madereva wa
Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention
Centre jijini Dodoma.
Afisa Tawala
kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Stella Teri akiwasilisha mada kuhusu Kanuni
za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wa kongamano
la nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa
Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Afisa
Utumishi Mkuu, kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Kassim Dihenga (aliyenyanyua
mkono) akifafanua jambo kwa mtumishi aliyefika kupatiwa huduma ya kiutumishi wakati wa kongamano
la nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa
Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Madereva kutoka Ofisi ya
Rais-UTUMISHI wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Madereva
wa Serikali Tanzania Bw. Saidi Kapande kabla ya kuanza kwa kongamano
la nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa
Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Sehemu ya Madereva wa
Serikali wakiwa katika kongamano la nne la Madereva wa
Serikali wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention
Centre jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment