Mkurugenzi
Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza,
Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo akiwasilisha mada kuhusu Mwongozo
wa Kuzingatiwa Kuimarisha Ujumuishwaji wa Jinsia katika Utumishi wa Umma wakati
wa kikao kazi kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya
ujumuishwaji wa jinsia ya Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Waratibu
wa Jinsia Mahali Pa Kazi Ngazi ya Wizara katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na
Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi.
Mwanaamani Mtoo (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mwongozo wa Kuzingatiwa Kuimarisha
Ujumuishwaji wa Jinsia katika Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi kilicholenga kupokea
taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya Mwaka wa
fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.
Afisa Tawala Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Bi. Joyce Mlowe akiwasilisha taarifa ya utekelezaji na
mpango kazi wa ujumuishwaji wa jinsia ya Wizara hiyo wakati wa kikao kazi kilicholenga
kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya
Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza,
Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo (kushoto) akifuatilia mada
mbalimbali wakati wa kikao kazi cha
Waratibu wa Jinsia Mahali Pa Kazi katika Utumishi wa Umma kilicholenga
kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya
Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma. Kulia
ni Mwezeshaji kutoka Taasisi ya UONGOZI, Prof. Linda Mhando.
Mwakilishi wa
Mkurugenzi-Taasisi ya UONGOZI ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Tafiti na
Sera, Bi. Carolina Israel (katikati) akifuatilia kikao kazi cha Waratibu wa Jinsia Mahali Pa Kazi katika Utumishi wa Umma kilicholenga
kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya
Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma. Wengine ni
Waratibu wa kikao hicho kutoka Taasisi ya UONGOZI.
Sehemu ya Waratibu
wa Jinsia Mahali Pa Kazi Ngazi ya Wizara katika Utumishi wa Umma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao
kazi kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya
ujumuishwaji wa jinsia ya Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.
Afisa
Mipango Mwandamizi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Staricko Nyikwa
akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada
kuhusu Mpango Kazi wa utekelezaji wa masuala ya jinsia mahali pa kazi
wakati wa kikao kazi cha
Waratibu wa Jinsia Mahali Pa Kazi katika Utumishi wa Umma kilicholenga
kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya
Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.
Mwandishi
wa Ripori kutoka Taasisi ya UONGOZI, Bi. Betty Humplick (aliyeshika kipaza
sauti) akifurahia jambo na Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na
Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi.
Mwanaamani Mtoo (watatu kutoka kulia) mara baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha Waratibu wa Jinsia Mahali Pa Kazi katika
Utumishi wa Umma kilicholenga kupokea taarifa ya
utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya Mwaka wa fedha 2024/25
kilichofanyika jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment