Monday, February 7, 2022

MHE. JENISTA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA 2021/2022 KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akifungua Kikao cha uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa katika Kikao kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Tunza Malapo akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) mara baada ya waziri huyo kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 katika kikao kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma. 


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akijibu hoja zilizowasilishwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya Mhe. Jenista Mhagama kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 katika katika kikao kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma.

 

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Saashisha Mafuwe akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) mara baada ya Waziri huyo kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 katika kikao kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa na Naibu Waziri wake Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na Viongozi wa Ofisi yake wakisikiliza hoja zinazowasilishwa na mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (hayupo pichani) mara baada ya Mhe. Jenista Mhagama kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwa Kamati hiyo kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa na Naibu Waziri wake Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na Viongozi wa Ofisi yake wakipokea maelekezo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya Mhe. Jenista Mhagama kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwa Kamati hiyo kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma.

 

Baadhi ya Wakuu wa Taasisi na Watendaji wa Taasisi zilizopo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya OR-MUUUB kwa kipindi cha nusu mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/2022 katika kilichofanyika Ofisi za Bunge Ukumbi wa Msekwa D Jijini Dodoma

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

No comments:

Post a Comment