Thursday, August 8, 2019

SERIKALI YAWATAKA MAAFISA UGANI NCHINI KUTOA HUDUMA YA KITAALAMU KWA WANANCHI ILI KULETA MATOKEO CHANYA KATIKA SEKTA YA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI



Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) ambaye ni Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Kagera akielekea kukagua mabanda ya maonyesho katika Viwanja vya Kyakailabwa mkoani Kagera. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Brigedia Jenerali Marco Gaguti.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) ambaye ni Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Kagera akiangalia mboga katika shamba darasa la Jeshi la Magereza lililopo Viwanja vya Kyakailabwa mkoani Kagera.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) ambaye ni Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Kagera akiangalia chakula cha samaki katika bwawa la kufugia samaki la Jeshi la Magereza Kagera lililopo Viwanja vya Kyakailabwa mkoani Kagera.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) ambaye ni Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Kagera akizungumza na wananchi wa mkoa wa Kagera (hawapo pichani) katika Viwanja vya Kyakailabwa mkoani Kagera.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) ambaye ni Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Kagera akitunuku cheti na zawadi kwa watumishi wa Kiwanda cha Sukari Kagera ambao ni washindi wa pili wa jumla wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima katika Viwanja vya Kyakailabwa mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment