Watumishi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza maelekezo ya uchaguzi wa
mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017 uliofanyika leo katika ofisi hiyo.
|
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka
2017.
|
No comments:
Post a Comment