Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano wa baraza maalumu la wafanyakazi wa Utumishi kwa njia ya mtandao kwa mara ya kwanza nchini. |
Washiriki wa kikao maalum cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma kilichofanyika kwa njia ya mtandao ukumbi wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao(TaGLA). |
Washiriki wa kikao maalum cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma kilichofanyika kwa njia ya mtandao wakifuatilia kikao hicho kutoka Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. |
Kaimu Mkurugenzi -Idara ya Mipango Utumishi Bw. Lumuli Mtaki akiwasilisha mada kwa njia ya mtandao kutoka Makao Makuu ,Dodoma. |
No comments:
Post a Comment