Saturday, April 8, 2017

SERIKALI YAWAPOKEA WATANZANIA WALIOHITIMU MASOMO CHINI YA MPANGO WA ABE UNAORATIBIWA NA JICA



Mkurugenzi-Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Utumishi Bi. Roxana Kijazi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bi. Susan Mlawi katika hafla fupi ya kuwakaribisha watanzania walionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE iliyofanyika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam

Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania walionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE unaoratibiwa na shirika la JICA, baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha watanzania hao iliyofanyika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam

Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha watanzania walionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE iliyofanyika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam

Wageni waalikwa walioshiriki hafla fupi ya kuwakaribisha watanzania walionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE iliyofanyika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam


No comments:

Post a Comment