Saturday, April 29, 2017

Waziri Kairuki azindua Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro(aliyesimama) akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuzindua Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mapema leo. 
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)(kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora iliyofanyika mapema leo.


Mwenyekiti wa Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma Bi.Gertrude Mpaka (katikati) akizungumza baada ya uzinduzi wa bodi hiyo katika  ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mapema leo.

Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (wa nne kutoka kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Dkt. Laurean Ndumbaro  (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma baada ya kuizindua bodi hiyo mapema leo.

No comments:

Post a Comment