Napenda kuchukua fursa hii kutoa dukuduku langu maan nimepata taabu sanaa nikiwa mtumishi halali wa serikali ivi haki ipo wapi kama nafatilia haki zangu si tekelezewi Kiufupi nipo kondoa mji nnadai mishahara miezi mitano lakin mwajir toka mwaka jana mpaka sasa bado hajashughulikia dai langu nimikuwa nisumbuka sanaa kuhusu suala hilo
Napenda kuchukua fursa hii kutoa dukuduku langu maan nimepata taabu sanaa nikiwa mtumishi halali wa serikali ivi haki ipo wapi kama nafatilia haki zangu si tekelezewi
ReplyDeleteKiufupi nipo kondoa mji nnadai mishahara miezi mitano lakin mwajir toka mwaka jana mpaka sasa bado hajashughulikia dai langu nimikuwa nisumbuka sanaa kuhusu suala hilo