Tuesday, April 18, 2017

Mhe. Kairuki awasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2017/18 ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Taasisi zake

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka wa Fedha wa 2017/18. 
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro, Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais-Ikulu Bw. Alphayo Kidata, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. SusanMlawi wakiwa pamoja na watendaji wa ofisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka wa Fedha wa 2017/18.


Baadhi ya Waheshimiwa wabunge wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka wa Fedha wa 2017/18. 



No comments:

Post a Comment