Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali
za Mitaa, Mhe. Ahmed Juma Ngwali (Mb) akichangia hoja mara baada ya Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti
ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha
wa 2017/18 ya Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa
Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
|
Thursday, March 30, 2017
MHE. ANGELLAH J. KAIRUKI (MB) APONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA KWA KUSIMAMIA UTENDAJI MZURI WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YA RAIS-MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment