Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA
Serikalini, Bw. Priscus Kiwango akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI, Bw. Ibrahim Mahumi wakihakiki taarifa za Watumishi wa
Umma zilizowasilishwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora.
|
ReplyDeleteHili swala la uhakiki ni muhimu ila ni swala endelevu ambalo hata siku moja haliwezi kukamilika kwa asilimia mia (100%) Kwa hiyo, nashauri mruhusu taratibu zingine za utumishi ziendelee, hususan kupanda vyeo na kubadilishwa madaraja. Uhakiki hauwezi kukamilika ila utapungua tu.