Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya
Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba (wa kwanza kulia) akizungumza mapema leo katika kipindi
cha JAMBO kinachotangazwa na TBC One kuhusu Mfumo wa Wazi wa Mapitio na
Tathmini ya Utendaji Kazi (OPRAS). Wengine katika picha ni Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Mifumo na Viwango
vya Utendaji Kazi kutoka Ofisi ya Rais - Utumishi, Bi. Veila Shoo (katikati) na
Mwongozaji wa kipindi hicho, Bw. Rashid Salim.
|
No comments:
Post a Comment