WANAWAKE WANA UWEZO MKUBWA KIUTENDAJI KATIKA JAMII YETU- Mhe. Kairuki
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) (katikati) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO
kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi katika
kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine katika picha ni waongozaji wa kipindi hicho, kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah
Mang’enya wa TBC.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) (katikati) akitoa msisitizo mapema leo katika kipindi
cha JAMBO kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi
ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine ni waongozaji wa kipindi hicho kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah
Mang’enya.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO
kinachotangazwa na TBC one-Taifakuhusu nafasi ya mwanamke kwenye uongozi
ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma (katikati) Bi. Anne Mazalla akifafanua jambo mapema leo kuhusiana
na masuala mbalimbali ya Anuai za Jamii katika Utumishi wa Umma na Siku ya
Wanawake Duniani wakati wa Kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC one. Wengine
ni waongozaji wa kipindi hicho kushoto
ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah Mang’enya.
No comments:
Post a Comment