Friday, September 2, 2016

WANANCHI NA WADAU, MNAKARIBISHWA KUTOA MAONI KUHUSU MPANGO KAZI WA KITAIFA WA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI KWA UWAZI WA AWAMU YA TATU (2016/17-2017/18), Rasimu ya Mpango Kazi huo inapatikana katika Tovuti ya OGP (www.opengov.go.tz),Tovuti ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (www.utumishi.go.tz), Government Open Data Portal (www.opendata.go.tz), na Tovuti ya Wananchi (www.wananchi.go.tz)

Add caption

No comments:

Post a Comment