Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari
juu ya zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa Watumishi wa Umma wakati
wa mkutano wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na vyombo vya Habari uliofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Rais-Utumishi.
|
No comments:
Post a Comment